Nembo ya AFYA KWANZA Hospital

AFYA KWANZA HEALTH FACILITY

“Afya Yako Ndiyo Furaha Yetu”

Madaktari na Wataalamu Wetu

Tuna timu ya madaktari na wataalamu wa afya wenye uzoefu wa hali ya juu wanaotoa huduma masaa 24.

Picha ya Daktari

Dkt. Andrew Mwakitwange

Daktari Bingwa wa Magonjwa sugu ki ujumla

Yupo tayari kutoa ushauri na matibabu ya magonjwa yote sugu. Mfano kisukari, Tezi dume, kansa aina zote, mifupa(maumivu ya miguu na mgongo),magonjwa sugu ya zinaa aina zote, vidonda vya tumbo, macho, kuziba choo(costpation), kuziba mkojo

💬 Tuma Ujumbe WhatsApp
Picha ya Daktari

Dkt.Getruda Andrew

Mtaalamu wa Tiba ya Mwili na vipimo vya mwili mzima(full checkup)

Anahusika na mazoezi ya tiba na kurejesha ufanya kazi wa viungo na misuli. Daktari bingwa wa kutoa sumu aina zote katika mwili wa mwanadamu ambacho ni chanzo cha kansa aina zote

💬 Tuma Ujumbe WhatsApp
Picha ya Daktari

Dkt. Glory Paul

Mtaalamu wa Afya ya Kinywa na Meno

Anatoa huduma za uchunguzi, matibabu na usafishaji wa meno.

💬 Tuma Ujumbe WhatsApp